Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #15,401
Pass Master GutiGuti: "Real Madrid do not fear anyone. They can beat anyone when they are in form."
Ni kweli kabisa., tunatakiwa tujipange haswa, team yoyote iliyoingia quarter final maana yake ni wazuri, mambo ya kuwaona Wolfsburg ni underdogs inaweza kutu gharimu, ninajua wao watakua wametupania sana., isitoshe kama wakifanikiwa kututoa watakua wameweka historia ya kuingia nusu, so wana hari ya kufika huko.Butragueño: "Wolfsburg are a dangerous rival"
"We need to prepare well for the knock out games and get a good result in Germany"
"Playing the return leg at home is an advantage if you get a good result in the away leg".
James ameatuangusha sana msimu huu, sasa sielewi yupo kwenye kipind cha mpito au ndio tayari kiwango kimeshaanza kushuka. Ana kazi kubwa sana ya kutuaminisha kua anastahili kubaki kwenye team msimu ujao
The Real Madrid squad are badly pining for the real James Rodríguez to stand up because they consider him as a crucial part. [MARCA]
Guti alikua ananikosha kweli, sema ukorofi wake saa nyingine ulikua unacost team.Pass Master Guti
TrueMadridista
Acha unazi mkuu, unaweza ukaifanabisha Madrid hii ilokosa ushindani na ile ya Carlo Ancelot!?Guti alikua ananikosha kweli, sema ukorofi wake saa nyingine ulikua unacost team.
Kuna vijana wananishangaza, tulikua tunaogopa kupangiwa na team za Spain haswa Atletico, ila wanasahau tuliwatoa hao Atletico katika stage hii msimu uliopita.
Sio unazi, tatizo hauna kumbukumbu, msimu uliopita ambao Coach alikua Ancelloti, Atletico walitutoa kweny Kombe la mfalme, na hao hao walitupiga 4 - 0 pale Vicente Calderon, itakua ni ajabu sana kama na hii ulisahau pia..Acha unazi mkuu, unaweza ukaifanabisha Madrid hii ilokosa ushindani na ile ya Carlo Ancelot!?
Ile Madrid ilikuwa hatari saaana, sio hii inapigwa Bernabeu kizembezembe tuu.
Sio unazi, tatizo hauna kumbukumbu, msimu uliopita ambao Coach alikua Ancelloti, Atletico walitutoa kweny Kombe la mfalme, na hao hao walitupiga 4 - 0 pale Vicente Calderon, itakua ni ajabu sana kama na hii ulisahau pia..
Nimekusoma sana Mkuu, saa nyingine hua siwaelewi hawa vijana.Ni ngumu sana ku-reason na hawa watu wanaojiita wa Barça. Karibu mara zote huwa wako slow kiaina. Fanya tu kama huwaoni.
...this season they are not good enough and they know that too,that'z why they are celebrating.!! forgetting that,even if barca will go out,are they capable of beating the likes of Bayern,PSG, or Atletico?!Ahahahaha, yaani Mkuu fans wa Madrid hawakuamini kama wangepangiwa na hao watu.
Ofkoz kama Madrid akiitumia hii nafasi vema, ataingia Semi final akiwa na nguvu kubwa tuu. Huku timu kama Atletico akiingia lazima aingie na yellow nyingi, na hata red hazikosi. Hata PSG na Man City lazima mmoja wao aingie na Kadi nyingi hapo ktk nusu fainali. Mtu pekee atayepita anaweza asiwe na kadi nyingi ni Barca.
Ila Mkuu, hii Madrid ya sasa sio ya kuiwekea dhamana 100%.