Team kwa kweli hairidhishi, Team ya Zidane ameiunda kupitia kiungo, sasa Modric hayupo na mtu wa kumsaidia Kroos kupanga mashambulizi hakuna, ingependeza sana kama Mateo Kovacic na Isco wakaingia sasa, tunahitaji kukaa na mpira zaidi sababu kidogo hata beki zetu hazijakaa vizuri..