Kweli hapa Zidane itabidi abomoe karibia team nzima, vijana hawasomani uwanjani.. ni Kroos pekee anajaribu kucheza mchezo tuliouzoea, ila hao wengine imekua ni shida, au tatizo kukaa benchi??