Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
- Thread starter
-
- #14,281
Timu yote kwa ujumla imepooza...inashangaa
Modric kafanya yale mambo ambayo muda sasa hajayafanya
Tumeshinda lakin binafsi bado ninahitaji marekebisho yakiakili katika mechi za ugenini,..
kapiga kama ile na man u mwaka ulee UEFA.......First half alipiga kama ile.