Ambacho nimekiona kizuri leo...huku mbele ronaldo na benzema wamechangamka sana...tunawakabia hawa jamaa huku huku kwao...foward line zetu zinawakimbiza kwa kuwapa pressure wakiwa na mpira...hii inasaidia wao kutoweza kutulia kupanga mashambuliz yao....eneo la kiungo nimefurah wana ushirikiano sana leo....timu imebalance hadi sasa hv ninaona