Hakuna mchezaji anaefurahia bench kaka, ukizingatia James mwenyewe anajiona juzi kapiga bao National team huku Champions league anachoma mahindi. Lakini drama kama hizi dressing room ni kawaida, si unakumbuka Jese na Ancelotti. Hope akipewa playing time atafanya vizuri, manaake hapa kuna Danilo na Carvajal, James na Casemiro.