Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
January kuna haja yakufanya manunuzi maana tutakuwa na kikosi kidgo kama msimu jana
Not really. Tuko okay. Ni kuwa tumepata majeruhi mengi at once. Na hao kina Cheryshev wako vizuri. Morata nae ilikuwa hivi hivi.
True dat. Ila kwa january kupata good striker atakayekubali kuwa sub si rahisi. We can manage bila Benz kwa muda. Jana tulimkosa Modric/Kovacic kwa ajili ya ku-shield mpira na ku-drive mashambulizi. Mind you, kuna James pia kwenye sidelines. Ni reliable source ingine ya magoli.Mkuu we still need another perfect striker hapo mbele wakusaidiana na Benz we si unaona hapa anaumwa mbele hakuna maelewano kila mtu ni mbio mbio tu all in all tumejitahidi sana maana sikutegemea kama tungetoka na draw pale na hizo injuries tulizokuwa nazo