Kesho kuwa upande wangu kwa mkopo.....lol..na tushinde tu fitina za England ni balaa huku Spain cha mtoto,usajili tu makelele kibao.....sema Kirikuu na Neymar Hawapo tutawachapa tu....
Mpaka sasa kwa kiwango cha mpira, bado Man City wanahitaji zoezi la ziada ili kuwakaribia Real Madrid. Maana ni kama Madrid wanachezesha kikosi cha pili na bado vizuri