[12:37, 15/05/2015] Redondo: Benz nasikia alimind juzi. Inasemekana alisema alikua yuko vizuri kuendelea na game sema jamaa kama kawaida yake. Kuna watu hawaguswi.
[12:39, 15/05/2015] D: Yaani Carlo ni bibi sana, jamaa alikuwa anatupa uhai sana. Na Carlo mwenyewe alisema kabla ya game kwamba Benzo lilikuwa 100% fit
[12:39, 15/05/2015] Redondo: Full kukariri. Asiposepeshwa sitaelewa kabisa.
[12:43, 15/05/2015] D: Mwenyewe akibaki nasusia games zote, kwanza nageuka home this July so ntakuwa zangu busy na mishe, kisingizio tosha.
[12:43, 15/05/2015] D: We waache wafanye uduanzi
[12:44, 15/05/2015] Redondo: Hahaaah! Noma. Nimeona Goal wanasema Carlolina ameshasign a non binding contract with Citeh.
[12:44, 15/05/2015] Redondo: Sema huyu jamaa habaki.
[12:44, 15/05/2015] Redondo: Amecheksha waziwazi kabisa.
[12:47, 15/05/2015] Redondo: Wato wana manenooooo.
[12:47, 15/05/2015] Redondo: Sacchi mkuda sana. Anasema ''Ronaldo hasn't beaten an opponent in three months.''
[12:47, 15/05/2015] D: Mi anapoenda wala sijali, asepe tu. Nilim-doubt kabla hata hajatia maguu, we unakumbuka. Wale bata wa Real Madrid futbol blog tumezinguana sana hizi mambo. Mou nae ilikuwa hivyo hivyo
[12:49, 15/05/2015] Redondo: Nakumbuka. Mou tulibishana sana. Nikakuambia tumpe muda pengine anaweza akatusua ukagoma kabisa. Tena tulikua tunachat niko Chugga, nakumbuka hadi nilipokua. Carlolina hivyo hivyo hukumtaka.
[12:49, 15/05/2015] Redondo: Na hata wakati tunachukua UCL last year bado ulisema unashangilia kombe tu maana ulikua unaona tumebahatisha.
[12:52, 15/05/2015] D: Ila saivi kwa Klopp na Zizou nina imani sana, yaani sina doubt nao kabisa. Atakayechukua kati yao i hope they do well
[12:52, 15/05/2015] D: Angalau wanajua mpira