Labda itakuwa kama game ya Rayo, second half watatulia, lakini jamaa hawa wa Celta hawana masihara, wakatalani walitoa ulimi nje uwanja huu huu, wakapata goli la bahati dakika za mwisho, wakawa hawataki kucheza mpira tena. Nashangaa hawa mashabiki maandazi wanatubeza sisi.