Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala Hala madrid.... madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid.... Hala madrid....pumbavu dhaoooo,raha thanaaaaaa....
Hii game tumepita kwa zali, plan aliyokuja nayo Carlolina ilikuwa upuuzi kama kawaida yake. Hapa unless tunacheza semis + final na Juve tu, sioni tukiitetea hiyo ndoo. Tuna muziki