Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Madrid analinga Sana ,nafasi yenu anachukua Arsenal ...๐๐๐๐Perez hataki mchezo na Real madrid
View attachment 3013633
huwezi kwenda kucheza michuano ambayo ata yanga ana possbility kubwa ya kuja kushiriki yani Brand ya Real madrid leo iende kutumika kukuza Brand za vilabu vidogo kirahisi tu mimi naona sawa tu leo Real madrid bahati mbaya akitoka kaangukika kundi moja na mamelody atayekunufaika zaidi ni mamelody mara milioni kuliko Real madrid ata ikitokea Real madrid atashinda Goli nyingi afu pia naona perez analeta mgomo sababu ya Uhuni waliofanya FIFA kwenye kuipinga super leaugeMadrid analinga Sana ,nafasi yenu anachukua Arsenal ...๐๐๐๐
Madrid analinga Sana ,nafasi yenu anachukua Arsenal ...๐๐๐๐
Mbona sasa mmekubali Tena mtacheza?๐huwezi kwenda kucheza michuano ambayo ata yanga ana possbility kubwa ya kuja kushiriki yani Brand ya Real madrid leo iende kutumika kukuza Brand za vilabu vidogo kirahisi tu mimi naona sawa tu leo Real madrid bahati mbaya akitoka kaangukika kundi moja na mamelody atayekunufaika zaidi ni mamelody mara milioni kuliko Real madrid ata ikitokea Real madrid atashinda Goli nyingi afu pia naona perez analeta mgomo sababu ya Uhuni waliofanya FIFA kwenye kuipinga super leauge
Perez hataki mchezo na Real madrid
View attachment 3013633
Tumia akili.Mzee Perez popote ulipo, Kijana Calafiori wa Italia ndio mtu sahihi wa kucheza na Rudigar kwenye Backline Msimu unaofata, Militao ni mtego, Alaba ameshapoteza ubora wake.
Tumia akili.
Nacho bado yupo.
Halafu unaweza ukashangaa akijiunga na Real Madrid analipwa chini ya mshahara aliokuwa anautaka kwenye club yake ya awali.FLORENTINO PEREZ'S INTELLIGENCE IN ALPHONSO DAVIES' TRANSFER DRAMA
1. Davies has 1 year remaining on his contract with Munich and Munich wants to sell Davies for โฌ80 million
2. Real Madrid offered โฌ50 million but Munich rejected Real Madrid's offer.
3. Real Madrid approached Davies personally and Real Madrid reached a verbal agreement with Davies
4. Because of this verbal agreement, Davies does not want to be sold to a club other than Real Madrid.
5. Munich was forced to comply with Real Madrid's offer of โฌ50 million.
6. But Real Madrid refused and offered again at โฌ30 million. If Munich refuses, Real Madrid will wait for a free transfer.
7. Currently, Munich is having a headache, leaving Davies at โฌ30 million or not getting anything, like PSG who rejected โฌ200 million from Real Madrid and in the end got nothing.
Perez huu ni mafia na nusu
View attachment 3019911
Sio unasikia, ndio mtiririko ulivyo, club ina utaratibu wake jinsi ya mchezaji kuwa Nahodha, kwamba aliyehudumu muda mrefu ndani ya club ndio anapewa hiyo hadhi, na wasaidizi wake wanapatikana hivyo hivyo.Nimesikia unahodha anapewa Modric