TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Game ya jana tulikaa na mpira bila plan, tulikuwa tu tunategemea uwezo binafsi. Kwenye formation na Kikosi nilichopendekeza, nimependekeza pia solutions ambazo ni disco, James more advanced na Kroos kupewa uhuru zaidi wa kusogelea eneo la hatari la Atleti. So tutakuwa na mpira muda mwingi, ila kwa malengoOk, maybe Illarra is not that good for us, ila kumlaumu yeye kwa tulipo La Liga ni too much bro. Carlo is fully responsible for everything.
Timu kubwa kama RM should not afraid to take chances, club ina mafanikio iliyonayo coz people took chances. 'No guts, no glory' the saying goes[/QUOTE
Simlaumu Illara kwa kuonyesha kiwango alichonacho, Carlo is responsable kwa kutufikisha hapa tulipo kwasababu yeye ndio aliyempa mtu 90 min wakati anaona anaboronga na tumezidiwa. Illaramendi anaweza akacheza vizuri lakini we can't take a risk kumpa derby ya kufa na kupona kama hii. Kwa kifupi kwenye firtst -leg tumekaa sana na mpira lakini huwezi kusema tulicheza vizuri wakati score sheet haisomi. Second-leg Ancelotti pamoja na kuwapanga wakina Ramos, Varane na midfielders wao, muhimu aangalie jinsi gani ya kubomoa defence ya Atleti. Asituambie tu they have the best defence in the world, you're the manager, do something. Mbona Malaga wamewapiga bao mbili juzi tu hapa, inashangaza sana.
Hahaha Trolls. They should let him be, everyone has a bad day at office every once in a while. Tho David has had one too many, he has his days of glory too
Just saw this on twitter:
- If David Luiz is worth £50m, Raphaël Varane must be worth more than Apple.
Hahaha Trolls. They should let him be, everyone has a bad day at office every once in a while. Tho David has had one too many, he has his days of glory too
Me too, Cavani been a joke for a minute now. They don't have a coach too, just like usI always thought PSG Was a tough opponent, but sad Cavan let them down yesterday
Coz nothing is ever enough with us, we set our own standards.
Adidas...