Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #4,541
wadau hii timu naipenda mpaka basi ikifungwaga nakosa raha wiki nzima leo naomba mungu wasiniaibishe
hala madrid
siamini kama leo tutapoteza mkuu hata tukipoteza ni kwa goal diff ndogo naimani second leg lazima tutashinda-Pole sana mkuu, angalia leo usinywe sumu.
-Real ana nafasi ya kutengeneza leo.siamini kama leo tutapoteza mkuu hata tukipoteza ni kwa goal diff ndogo naimani second leg lazima tutashinda
hala madrid
mkuu mm leo nipo confident sana hawa jamaa wametuonea vya kutosha msimu huu leo hata kugeuza uwanja juu chini ushindi ni lazima we call it revange-Real ana nafasi ya kutengeneza leo.
-Akipoteza leo ndo anapotea mazima, kama kushinda apate ushindi mnono.
-Atletico anaweza akatoa droo na bado akakutoa ukiwa kwako.
-Rejea hata kombe la Mfalme, kwake aliruhusu Atletico wapate goli la mapema mno.
-Ukiwa kwako ktk mashindano kama haya usiruusu Mpinzani wako apate goli lolote lile.
-Mimi naamini leo Real hatoweza kupata matokeo mabaya kama alivyopigwa 4 ktk ligi.
-Na wala sina Imani hata chembe kwamba Real Madrid anaenda kushinda mechi ya leo.
hahahahahahahahahahahahamkuu mm leo nipo confident sana hawa jamaa wametuonea vya kutosha msimu huu leo hata kugeuza uwanja juu chini ushindi ni lazima we call it revange
Leo real analambwa 2 kwa nil