Tatizo Barca nao kila game wanashinda tu! Wananikera kweli. Jana wameshinda NNE moja. Yaani tukipoteza game moja tu basi ndoo tunaikosa tena kwa mara ya 5 mfululizo.
Tatizo Barca nao kila game wanashinda tu! Wananikera kweli. Jana wameshinda NNE moja. Yaani tukipoteza game moja tu basi ndoo tunaikosa tena kwa mara ya 5 mfululizo.
Bi dada ili baselona waongoze ligi inabidi mechi ijayo #35 tufungwe kisha mechi #36 tutoe draw.....baada ya hapo sisi tutakua tunaongoza ligi huku tukilingana kwa points....
Ili wachukue ubingwa itabidi mechi #37 au 38 tufungwe au tudraw.....
Note:Wakati tunapepesuka hivi wao inabidi wao washinde mechi zooote.