Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Federico Velvede una mtazama aje mkuu? Yule dogo ni DM mzuri saana ndio maana mechi nyingi akifanyiwa sub tunapigwa nme shuhudia game kama tatu Fede akitoka mda si mrefu tunafungwa acha kumu underrate
Ujue kumchambua DIFFENSIVE MIDFIELD kwa shabiki mandazi ni ngumu sana. Kuna mashabiki wa mpira kupitia livescore na kwenye mikeka. Emu mtuache sisi tunaoifatilia kila touch kila sekunde kila movement ya mpira uwanjani. Huwezi muanderate kiasi icho FEDE.... Dogo yule nadhani anaweza kuwa moja ya defensive and box to box midfield kwa sasa. Akiaminiwa tunaweza hata NGOLO KANTE asisajiliwe pale madrid.
Hajielewi huyu.. Aangalie Fede amekua man of the match mara ngapi msimu huu.
Alafu watu kama hawa unabishana nao kumbe hata mechi hawaangalii, wanasubiri matokeo live score.
Mtu kama Vin anamchango mkubwa sana, japo hayupo clinical kwenye umaliziaji.. Hata Rauli akiwa bwana mdogo alikua na hili tatizo, lakini aliendelea kuwa bora kadiri muda ulivyokwenda.
Hata Modric alipokuja watu waliongea mbovu, ila badae shughuli yake waliona.
Du! Kwahiyo wote hao uliowataja ni wabovu??? Unajua thamani yao imekua kiasi gani mpaka sasa toka wanunuliwe?? Wote hao age ni 18-20, wanaviwango vizuri na wanaitaji kujenga uzoefu tu. Wana muda wa kutosha kukua.
Nilikwambia nitajie timu ambayo inanunua wachezaji na wote wanakua first class players naona hujanitajia.
Lengo la kutoa wachezaji kwa mkopo ni kwajili ya kuwapa play time na kuwapa uzoefu, kwasababu wakiendelea kukaa kwenye timu na wazoefu wataishia kusugua bench tu.
Madrid haijaanza kuuza wachezaji wala kununua wachezaji jana wala leo. Na itaendelea kufanya hivyo kwasababu mpira ni zaidi ya uwanjani, ni biashara pia.
Mkuu we endelea kuangalia matokeo live score. Unategemea promising young player auzwe bei gani? Unataka wachezaji wanunuliwe bei zakina Mrishi Ngasa nini? Usipime bei za wachezaji pale Madrid kwa kulinganisha na hali yako ya kimaisha.huwezi kununua mchezi kwa 50m halafu bado usubiri ajenge uzoefu.
Hujui unachoongea. Fatilia Raul kabla hajawa kwenye pick alikuaje.Kwa forward kama huyo Vi awe ndio tegemeo Real Madrid watasahau Champion League kwa miaka mengi mengine mbele.
Hujui unachoongea. Fatilia Raul kabla hajawa kwenye pick alikuaje.
Fatilia Luca Modric alikuaje wakati tunamchukua,
Jamaa yetu dos.2020 Kumbuka modric ilisemekana ni the worst signing. Lakin nambie alioyafanya modric sasa ni yapi. Wape muda vijana. Ww just watch and enjoy madrid football.
Ni ukweli dogo ame takeover majukumu kizuri zaidi anacheza kwa kujiamini ni mara chache sana kumuona ana fanya mistakes zinazoleta hatariDogo valved namuona kama hazina baada ya ton na luka mo
Ni ukweli dogo ame takeover majukumu kizuri zaidi anacheza kwa kujiamini ni mara chache sana kumuona ana fanya mistakes zinazoleta hatari