Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wajukuu zangu naona mnafrahia utamu wa JoJo....
Mmechokoza nyuki
 
Yaani tukimpiga Atletico next week, mi natangaza ubingwa kabisa
PAGAN, post: 34206067, member: 241513
Atletico raia huko wanajipigia tu, ila sasa ikifika hiyo Jumamosi. utadhani sio team iliyotoka suluhu na Leganes kwenye uwanja wao!! Week hii tunakutana na team zinazopenda kupata sifa kupitia Real Madrid, Jumatano tunawafuata Zaragoza hawa tuna kisasi cha kulipiza kisha Jumamosi tunawakaribisha Atletico..,
 
Game ya Leo itakuwa ngumu kutokana na aina ya wapinzani tunaokutana nao ila ninaamini vijana wetu hawatatuangusha!!, Vamooos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…