Daah nimecheki game ya jana nasikitika kusema hawa watoto naona hawatupeleki kokote. Nafasi wanatengeneza lakini umaliziaji hata hamna kitu. Madogo wanahitaji muda zaidi kuweza kutuprove wrong.
Daah nimecheki game ya jana nasikitika kusema hawa watoto naona hawatupeleki kokote. Nafasi wanatengeneza lakini umaliziaji hata hamna kitu. Mafogo wanahitaji muda zaidi kuweza kutuprove wrong.
Daah nimecheki game ya jana nasikitika kusema hawa watoto naona hawatupeleki kokote. Nafasi wanatengeneza lakini umaliziaji hata hamna kitu. Mafogo wanahitaji muda zaidi kuweza kutuprove wrong.
Mkuu huyo Bale mwenyewe aliingia uliona alichokifanya!? Ni afadhali angeingia Isco atoke Vinicius ili Rodrygo acheze left wing, Ninaona dogo yupo poa zaidi akitokea wing hiyo.., Ila nilichoona jana sio team ilishindwa kutengeneza.nafasi ila waliopata nafasi kushindwa kuzitumia!!
Bado tuna game za kutosha japokuwa sikufurahishwa na ile sare!!
#HalaMadrid¡¡