pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,285
- 3,847
Bale kwenye mechi na barca huwa anatepeta sana...Real Madrid Xi vs. Barcelona: Courtois; Carvajal, Varane, Ramos, reguilón; modrić, casemiro, kroos; Bale, Benzema, vinicius
Hahaha
Kwa Madrid dhidi ya Barca, nadhani Madrid imejitahidi mno kwa kiwango cha soka walichokionesha First Half.HT: Tumecheza hovyo...safu ya ulinzi ni kama vile kuna wakat inapigwa na baridi...inajisahau sanaaa...mbele kule huyu bwana mdogo Vin ana mambo mengi ambayo siyo ya hekima wakat mwenye uzoefu benzema ni hovyo ilihali bale sijui anafanya nini uwanjan....Kroos anakimbia hadi anaacha mpira nyuma anapoteza mipira sana...nafikri benzema atoke aingie Lucas na bale atoke aingie Isco disco..
Sent using Jamii Forums mobile app