Sevilla leo waliutafuta kwa tochi. Hii ndio game ya Real Madrid, dominance mwanzo mwisho. 70% ball possession, sijui Inakuwaje timu kama Betis na Leganes wakatusumbia!
Naanza kushuhudia mabadiliko ktk la liga timu kubwa barca inaachana na kutumia graduates wa la masia tena, klabu bingwa dunian ya karne hii real madrid na ss tunakosa kutumia magalactico kuleta ile ladha ya mpira wetu daaaa. Spanish la liga ipo kwenye transition au fikra zangu
In Our Last Home Game Against Girona, We Beat Them 6-3 at Santiago Bernabeu. Now after almost one year we will playing against them at Home, So we are hoping for a Good game...