Team yangu inaitaji kocha mzuri wa kuendeleza hiyo team ata kama tunataka kukuza vijana lakini kocha ndio mtu wa kwanza
Nilijaribu anangalia line up ya last game ety marcelo anaplay kama left winga daah. Ngoja tuone leo atakuja na mbinu gani kocha wetu lakini percentage ya sie kushinda ni chache