Perez katuchoka kweli mpaka analeta mchezaji Wa academy ya man city pale bernabeu. Ama kweli zama zetu zimekwisha mchezaji hata city Hana namba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamtaka nani?
Swali lako limekalia kiushindani.
Nope, ukiangalia soko la makocha lilivyo kwa sasa kusema kuna kocha ataiokoa RM ni ngumu.
Kwangu shida najiona kwa kikosi na si kocha, kuna overhaul ya kikosi inatakiwa ili timu irudi kwenye msitari na hata hivyo haitakuwa overnight, lazima kuwe na kipindi cha mpito.
Timu inaanzia na kocha, Kwanza mupate kocha mwenye ubora halafu ndio mujenge timu kwa kupitia mfumo wa kocha.
Solari hafai kufundisha timu kama Madrid, Timu anaieka chini sana, na hana mipangilio ya kimashambulizi amabayo yapo kicreative. Timu haiwezi pata kitu kwake mkuu.
Benzema out ,mzee keshajichokea
Hayo ni matatizo yako weye binafsi mkuu. Kuna wengi amabao hawafai zaidi kwenye timu. Benzema ana 12 goals msimu huu, si average mbaya kabisa kwa striker. Matatizo ya timu hasa unashindwa kuyazungumzia.
Tatizo lako una ugomvi na dictionary,fanya kurudi huko juu kisha nenda kwa ras simba akakutafsirie nilichobandika utaelewa. #benzemaout
halafu wewe jamaa mkurupukaji balaa sijaona mwenye goli kumi na mbili zaid ya suarez la liga hebu tuonyeshe alipo benzema na magoli yakeView attachment 989336
Mkuu upo kishabiki zaidi na hilo ndio tatizo lako. Benzema amefunga 12 goals msimu huu from all competitions. Hicho ndio kipimo cha magoli ya mchezaji. 7 la liga, 3 champion league, 1 Copa 1 super cup.
Kupata striker mzuri zaidi ya benzema na ambae anaweza kufiti kwenye mfumo wa timu ni tabu sana zaidi ya unavyofikiria. Best available option ni Cavani amabaye nae pia ana 31. Kwahapo bado hutakua umekwamua tatizo.
Man utd wana Lukaku, Liverpool wana Firmino, City Aguero / Jesus, Arsenal Aubameyang, Chelsea moratta / giroud. Hebu twambie nani anafaa kati ya hao? PL nzima top quality No 9 ni Kane na Aguero tu. Na ukiwatizama hao aguero mfumo wake ni mgumu sana kufit kwenye timu kubwa na ndio mana ana straggle city tokea aje Pep. Kane hebu tupe makisio utamng'oa kwa ngapi Spurs, 250? au 300? na pia bado hautakua na uhakika wa kifit kwake kwenye mfumo.
Msiuchukulie football kama mupo PS4 fifa 2019. uhalisia ni mgumu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata utetee kwa namna zote benzema hafai kuichezea madrid kwa sasa,tugoli huto unamsifia aiseee wewe jamaa hata kama anakulipa sio kwa mashauo hayo. Hao wote uliowataja hapo ni bora kuliko benzema,bwabwaja utakavyo ila benzema aondoke tu