Ninaona afadhali Asensio ametoka, bado Benzema, tunahitaji goli la pili lakini wao wanachezea tu nafasi wanazopata, huyu Ceballos nae simwamini kabisa, anafanyaga makosa mengi sana