Mkuu mimi na wewe sijui kama tunaelewana. Mimi nasema mwandishi hapo juu kamlisha maneno Ramos kwasababu hakuomba msamaha, amempa pole Mo Salah. Namna ya kufanya reasoning, ni bora tuelewane tunaongelea nini, hayo mambo vagrant ipo special thread ya Barcelona kule kina
mwekundu wanakusubiri.