Kwa niaba ya marais wote duniani napenda kuwapongeza mashabiki wa Barcelona kwa kazi ngumu walioifanya ya kuhama timu kila Madrid alipokua akipiga hatua.
Pili niwaombe wasife moyo waendelee kuomba tukutane fainali mwakani.
Tatu wasijali sana maana tutakua na vijana wachanga akina De Gea, Neymar, Icardi, Lewandowski, Salah, Pogba, De Bruyne na wengine ambao wanachipukia.