Kwann zizou asikubar tu km team imemshnda, yaan team haina mnyambulko, no accurcy pases,butua butua tu....itz beter team apewe hata solar kulko huyu jamaa
Tatizo sio Zizou man, Vijana wetu walichoka tu., ndio maana husikii kelele nyingi kutoka kwa Madridistas, wachezaji wenyew wanajua kabisa wanazingua ndio maana unaona wanavyojituma kurudi katika hali zao, team nzima wote walipotea kwa wakati mmoja, ila kwasasa baadhi wamerudi katika ubora wao.,
Akitoka Zizou, hii team atapewa Guti... Solari bado ana safari ndefu kidogo...
The matches are coming thick and fast! After last night's victory in Seville the players were back at [HASHTAG]#RMCity[/HASHTAG] this morning to prepare for Wednesday's match against CD Leganes.