Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #34,961
Hahaha, Kijana wako hua habadiliki man, sema ninapenda tu anavyopambana, anazingua ila akipewa nafasi anajituma kweli kweliKuna huyu mtoto Nacho ***** huwa sielewag anachokifanya uwanjan...yaan ni mzito na anakaba kwa macho sana...huyu toka kitambo simkubali hata kidgo...ni mzigo kwa wenzake