Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #34,301
Jaza na wewe kama unazoWewe Salamander acha kutujazia ma-news yasiokua na umuhimu bana.
Unatukera.
Wewe Salamander acha kutujazia ma-news yasiokua na umuhimu bana.
Unatukera.
UselessTeh teh "many points behind" i like the phrase
Madrid is struggling to be no 3 atleast they can play UEFA next season
This year they have already kicked out the day round 16 was scheduled with PSG
Huyu benzema anaenda kufanyaje sasa ..huyu sa hv anatakiwa aanzie benchi ili ajifunze kwa wenzake....anafunga kwa kubahatisha siku hiziReal Madrid’s XI | Keylor Navas, Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo, Casemiro, Kroos, Modric, Kovacic, Cristiano & Benzema.
Benzema kwenye El Clasico uwa anacheza vizuri na beki za barca uwa zinapataga wakati mgumu kumkaba ndo maana inabidi aanzeHuyu benzema anaenda kufanyaje sasa ..huyu sa hv anatakiwa aanzie benchi ili ajifunze kwa wenzake....anafunga kwa kubahatisha siku hizi
Clasicos ni kati ya mechi ambazo Benzema hung'ara sana.Huyu benzema anaenda kufanyaje sasa ..huyu sa hv anatakiwa aanzie benchi ili ajifunze kwa wenzake....anafunga kwa kubahatisha siku hizi