Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #33,621
Kwanini aandamwe Cr7 tu anapokuwa out of the form? Then wanajisahaulisha kuwa huyu ndio anaongoza ufungaji huko UEFA..!Tetesi
RONALDO ANATAKA KUONDOKA REAL
Cristiano Ronaldo anataka kuondoka Real Madrid, kwa mujibu wa habari za bomshell kutoka Chiringuito TV Hispania.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno amekuwa katika kiwango kibovu miezi ya hivi karibuni, akifunga goli moja tu La Liga hadi sasa.
Inaaminika Ronaldo yupo tayari kuondoka ifikapo Juni 30, baada ya kukataa mkataba mpya Santiago Bernabeu.
Itapendeza kama R Madrid akipakatwa kwenye derbyKwanini aandamwe Cr7 tu anapokuwa out of the form? Then wanajisahaulisha kuwa huyu ndio anaongoza ufungaji huko UEFA..!
Inapendeza kuona una ndoto hziItapendeza kama R Madrid akipakatwa kwenye derby
Tunaisubiri hii game kama tunavyosubiri the third coming back of ChristInapendeza kuona una ndoto hzi