Bado vijana wetu hawajawa creative sana kwnye 18 ya wapinzani,but its a matter of time, tutarudi kwenye makali yetu tu.
Pia positioning ya foward wetu bado ni shida kidogo, japokuwa sio kitu cha kuwaza sana,
Sema tunahitajika kurudi kwnye form as soon as possible kabla hatujakutana na Dortmund, sababu kama ninawaona wao na spurs wapo moto sana, safari ya kwenda Aneota weekend hii ninadhan itatuamsha.