Ile cross ya modric na ya marcelo khatma yake ilikuwa unatakiwa ufunge tu na si vinginevyo ndio mahala pake jamaa walijituma sana mpaka kupiga zile pasi
Dear Ronaldo.. Pls I would be very Grateful if u Tell me how u where able to score Buffon Twice in 90 minutes when Barca could not score once in 180 minutes...
Yours Sincerely
Lionel Messi

Wakati Messi akiwa na mabao 11 kuingia hatua ya robo fainali CR7 alikuwa na mabao 2 tofauti goli 9 ila mwisho wa UCL CR7 kaondoka na kiatu. Baada ya kujiongezea mabao dhidi ya Bayern 1st leg 2 2nd leg 3, kisha wakaja ATM akawadungua 1st leg 3 na akamalizia Juve Final 2.
Kweli kutangulia siyo kufika, halafu CR7 katupia magoli hatua ambayo ni ngumu maana ukishaingia mtoano huko ni kukutana na mabingwa kweli siyo kwenye makundi unakutana na timu ilikuwa ya tatu au nne kwenye ligi yao unawakandamiza magoli. Kama naiona Ballon d'or.
Wale waliotamani iende kwa GIGI sijui wamejificha wapi.