Mbona hawa vijana wetu wanaanza kuleta sana masihara? sio kwa kuwarusuhu Alaves kutushambulia hivyo!! Tunawaruhusu kucheza huku tukijua tupo mbele kwa goli moja tu,

Kiko anapiga mpira nje then analalamika, sasa sijui ndio kujitetea kule ama ni nin!!
Kovacic bado hajaleta mabadiliko yoyote, kwa mbali ninaona Vasquez akijiandaa!!