Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bado nina imani na foward zetu lakini wanapaswa kuongeza umakini na bidii zaidi ili kujiimarisha kwenye mbio za ubingwa.
 
Mkuu kama huijui Real Madrid. Defenders wote wanaenda juu, ukija mpira wote wanarudi mbio hata mpira ukiokolewa, rebound lazima tupigwe, si umeona hata Celta Vigo
Kocha lazima abadilishe hii mbinu.
 
sasa pale Ronaldo alikuwa na haraka gani? Yaani sijui ni kitu gani kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa watu!!
 
Cr7 anakosa concetration kabisa hii anatoa mwanya kwa wapinzani wake.
 
sasa pale Ronaldo alikuwa na haraka gani? Yaani sijui ni kitu gani kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa watu!!


Kaishiwa mipango yote, kabaki kutuharibiaa game tu. Na udikteta wake akitolewa lazima zengwe dunia nzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…