Kama umeangalia mechi zao na barca utaona barca wanatumia ule mfumo wetu vizr wa msimu jana,wanapiga counter attack za umakini wa hali ya juu,mpira ukija mbele haupotezwi hovyo,angalia sisi mpira unapotea sana mbele,tunacheza kila mtu na lake,hakuna umoja mbele,na hakuna kujiposition vzr...mtu anatoa pasi bora kuondoa lawama