Vijana wapo vizur, ni wepesi sana, ninadhan na mazingira yaliwabeba, ile game ya na National walikuwa wanafunguka sio mchezo!!Madogo walikamia
Ni kama kipindi cha kwanza tuli walea sana
Kutoka visiwani hao huwa kazi kweli ni watu wachache walikuwa wanajua khabari ya hiyo timu kuna mwingine wa kuitwa Yuma aah jamaa wana timu ya ushindani.Kwa individual show waliyoinyesha leo, lazi wauze wachezaji Ulaya.
U make senseIf only we could trade Bale's injury to Cristiano.
sister hadi unasema Hala!? umeprovide aid and comforts to the enemy.Hala Madrid !!...mwaka wenu huu kwa raha zenu