Benzema anaigharimu sana team kwa kweli, ninajua tunapo elekea Zidane atakuja elewa tu kuwa jamaa habebeki, ona dakika kadhaa alizopewa Mariano, unamwona kabisa Kijana yupo very effective
Si unajua jamaa anafanana na kadi ya njano, yaani kabla hata game tayar tuna assume kuwa kuwa ameshapewa tayar, Ila maajabu game mbili mfulilizo jamaa hajapewa kadi.