Point tatu ni muhimu, na uzuri ni kwmba tumezipata, performance ya team ilikuwa poa sana kipnd cha kwanza, ila cha pili kasi ilipungua labda sababu Sporting na wenyew walikuwa wanatafuta goli, so waliongeza kasi kidogo na vijana wetu walshindwa kwenda nayo, so tukabaki tunakaba tu. Uchovu unaweza ukawa umechangia kwa vijana wetu kucheza kwa kiwango kile kile kama kipnd cha kwanza, ila wamejitahid na wameshinda sasa tuanangalia mbele kweny La Liga.