Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ZZ anasema benz na varane walitolewa sababu ya injury, mbona kama list ya injuries inakua kubwa James, Casemiro, Marcelo, Modric, Varane, and Benz still kuna international break you never know but kidogo inatia hofu

Man hofu sio kidogo, hii international break inakuja 15 players wako kwenye NT zao.
 
nipo nawacheki celta na barca, celta wanaongoza moja lets hope matokeo yabaki hivi hivi
Mkuu mwenyew hapa nimeshikilia tu pb, hii ngoma ibaki hiv hiv!!
Ila tumeshindwa kutumia madhaifu ya wenzetu, hiki ndio kinachoniuma zaid
 
We need to win our games, hii tabia ya kutegemea our rivals wafungwe hatuwezi kuchukua ubingwa. Last season ilikuwa hivi hivi wamepoteza mechi sisi badala ya kuchukua gape, tukawa tuna-draw tu at the end tukakosa ubingwa kwa point moja.
 
Ni kweli Mkuu, ndio maana nimesema hapo kuwa tunashindwa kutumia madhaifu ya wenzetu, msimu uliopita walituacha wakati team yetu haifanyi vizur, na sisi tunatakiwa tufanye hivyo pia ili tuwe na uhakika wa kchukua la liga
 
Kama tungeshinda tungeongeza gape maana mtaa wa pili wameambulia kichapo ndo hvyo tena still tumempita pointi mbili, ila hii international break timu ijitafakar vzr na zizou aje na plan B ya kutafuta ushindi maana anaanza kutuzngua tyuu.
 
Vincent Calderon - home to our fierce city rivals , Atletico Madrid turns 50 today!

Proud to have such a strong neighbour in the city.

Basketball Results!!
Real Madrid 142-137 OKC Thunder

Shukran za kipekee kwa Sergio Llull kwa mtupo wake wa point 3 zilizopelekea kufangana point.
 
As foe now, no return date on Marcelo and Casemiro.

Modric out for a month.

Varane, Benzema and James should be okay but they're undergoing tests.

15 Madrid Players were called up for International Duty.

Varane and James won't play though.

15, with Casemiro and Modric injured. Talk about an international team.

Isco on contract renewal: "The truth is that I have not yet thought about it, nor have they asked me to renew, so I am calm."

"If they don't want me to renew, I won't go asking for it. It's something for the club to decide, not me."
 
Marca | "Isco: If I'm not a starter it's my own fault..I'm not stupid."

Real Madrid players who called to represent their National Teams:

Isco hataki kuongeza mkataba, ufafanuz wakuu

Isco aendi popote mkuu. Hawa waandishi wanauliza swali, wanapewa jibu simple, lakini taarifa watakazozitoa ni nzito kupita maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…