Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #21,601
Yah kwa kweli hope next game ya UEFA atakuwepo kucheza upande wa Marcelo,maana Hizi timu zinaipania Madrid mpaka zinapelekea injuries kwa wachezaji wetu.Zidane: "Coentrao training normally and could enter the list."
Without a doubt, BEST NEWS OF THE DAY!!
Afadhali mwenye lango lake amerud ,hatimaye makosa ya kizembe ya casilla yatapungua,aanze kujifunza vizur toka kwa Navas,atakapoanza kukaa bench.
Naona anataka kuanza kuwa rotate ila sidhani kama itakuwa good idea Kiko bado anafanya makosa madogo madogo atatugharimu, hatutakiwi kupoteza mechi kwa uzembeAfadhali mwenye lango lake amerud ,hatimaye makosa ya kizembe ya casilla yatapungua,aanze kujifunza vizur toka kwa Navas,atakapoanza kukaa bench.
Afadhali mwenye lango lake amerud ,hatimaye makosa ya kizembe ya casilla yatapungua,aanze kujifunza vizur toka kwa Navas,atakapoanza kukaa bench.
Naona anataka kuanza kuwa rotate ila sidhani kama itakuwa good idea Kiko bado anafanya makosa madogo madogo atatugharimu, hatutakiwi kupoteza mechi kwa uzembe
Ila kwenye ligi na ucl huyo asubiri kwanza.Kuna Copa del Rey kaka, nafikiri hilo Navas itabidi apumue tu.
Ila kwenye ligi na ucl huyo asubiri kwanza.
Hii kurudi kwa Navas ni habar njema sana kwangu!! Mimi ninawaza game ya Dortmund tu, tunatakiwa kuwa na kitasa haswa pale golini!! Hope Zizou atampa Navas kesho nafasi ili awe fit game ya Jumanne!!Afadhali mwenye lango lake amerud ,hatimaye makosa ya kizembe ya casilla yatapungua,aanze kujifunza vizur toka kwa Navas,atakapoanza kukaa bench.
Kiko Kombe la Mfalme linamhusu sana, huku kwingine awachie Navas, kidogo hakutakiwi mzaha mzaha!! Hatujachukua La Liga kitambo kidogo!!Asubiri kwanza mtu ana miaka 30. Yaani anavyocheza vile ndio kamaliza game yake. Hata hivyo sio mbaya sana.
Ila kuwarotate ni idea nzuri,ila naona michuano fulan angedaka kila fulan na mwengine pia hvyo hvyo,mfano,la liga mwanzo mwisho adake Navas na casilla adake copa del rey na UEFA kwny group stage,then knockout stage aendelee Navas.Naona anataka kuanza kuwa rotate ila sidhani kama itakuwa good idea Kiko bado anafanya makosa madogo madogo atatugharimu, hatutakiwi kupoteza mechi kwa uzembe