Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #21,561
Walitukazia sana last season tukawafunga kwa mbinde pale kwao
James ana juhudi sana,I think imefika time James Rodriguez apawe chance na aaminiwe naona ame Improve performance sana
James jana kafanya kazi kubwa sana, apewe muda mwingi wa kucheza***** cross zote zinapita tu
Hodi humu ndani, jana nilikuwa village net inasumbua ila mechi nilitazama. Kiukweli timu imejitahaidi sana kusaka point tatu ila ikashindwa kupata. Tatizo naona kumkosa Modric na kutolewa mapema kwa Marcelo imepelekea haya matokeo kwa kuwa hawa wanauweza wa kupunguza msitu na kupress final pass endapo cross zinaposhindwa kutumika kupata goli.
Pia wachezaji wetu walikuwa wamepanic kiasi na kukosa umakini kwenye umaliziaji wa cross za James,Danilo na Lucas.
Ramos bwana! smhIn just 5 La Liga 2016/17 rounds played so far, Ramos already has 4 yellow cards and is one away from a suspension.
Ila jana hao wa kujiita BBC waliniudhi sana kwa kweli!! Wajamaa wanacheza kifather sana, hawataki kushirikiana na wenzao kutafuta mpira ila wanapenda kufunga. Mpaka James akawa anatoa darasa, sababu anahangaika wee, mwisho wa siku wajamaa wapisha na mipira yake.Watakaza sana, lakini tunataka Zidane apange kikosi kilichocheza second half game ya Sporting, hawa BBC waende wakaendeshe ma-bugatti yao tu wasituletee ubishoo.
Sasa kwenye game kama hizo tunatakiwa tutafute mwarobaini wake, Morata na Modric wangeweza wakawa solution. Ninajua game kama ile ya jana tutakutana nazo kibao msimu huu.Na wale wajomba wanajua kulipaki bus kiukweli. Walicheza 4 - 3 - 2 - 1, kwa hiyo hawa watu 9 wote walikuwa wanakaba, Real Madrid wakishambulia wote wanajaa kwenye box.