Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #21,161
Mkuu ligi bado mbichi sana sio kujipa matumaini kiivo, las palma na alvaves ( don't mind the name) naona wamekuja kivingine, inawezekana ukawa moto wa mabua au wakafanya walichofanya Leicester epl, kikubwa nikuhakikisha tunaondoka na ushindi mzuri kwenye classicos ili isije kuwa tabu mwishoni mwa msimu endapo itatokea ile ya head to head.Nafurahi ubora tunaondelea kuonyesha huku Zizou akidhihirisha kwanini apewe timu bora kabisa duniani. Sioni timu ya kutusumbua huu msimu, isitoshe mechi mbili za mwanzo tumecheza bila key players bado tukakusanya point.
Mkuu ligi bado mbichi sana sio kujipa matumaini kiivo, las palma na alvaves ( don't mind the name) naona wamekuja kivingine, inawezekana ukawa moto wa mabua au wakafanya walichofanya Leicester epl, kikubwa nikuhakikisha tunaondoka na ushindi mzuri kwenye classicos ili isije kuwa tabu mwishoni mwa msimu endapo itatokea ile ya head to head.
Nimemcheki jana dogo Llorente, serious the boy is talented, na kama itawezekana bora ku cut short loan spell yake aje amsaidie casemiro. ( japo sijajua kama inaruhusiwa kutokana na hii ban)