Duu, Nacho imekuaje hajaruka, saa nyingine hawa beki zetu bhana, last time jamaa tuliwapiga 4 mtungi, ila Leo ninaona wamerudisha mawili tayar!! Watajisifu sana aisee!!
Beki zimekataana kimtindo na Kiko Casilla kashindwa kutoka na clean sheet. Goli zote mbili zinafanana krosi zimekuja Casilla Yuko sokoni maforward wakawa wanagonga Tu, nyavu.
Huwezi amini, mimi ninamkubali Mariano kuliko hata huyo Morata na Benzema, dogo ni mwepesi kweli kweli, Zile kosa kosa za Benzema na Morata angalau tungehesabu hata goli!!
Casilla amemshikia Navas tu pale jamaa akipona benchi limamhusu, labda acheze Kombe la Mfalme!!