Kama hawa vijana hawaelewani hiv, sasa sijui ni uchovu, joto ama nin!! sema ule uchu wa kufunga magoli bado upo, so sio mbaya, cha muhimu ile ari ya kushinda iwepo haya mambo mengine yatajiset mbele ya safari!!
Aliwakosa muda fulani ninadhan hawajakutumia, hatimae amekuja kuwaliza, bonge la header!! Jamaa ninadhani atakuwa amefikisha goal 60 kama sijakosea!! Ramos yupo vizur kwa kweli !!