kitu kimoja napenda kuhusu real Madrid hawanaga kelele!imagine katika miaka 3 iliyopita wamechukua Uefa mara 2 lakini almost hakuna kelele kabisa toka kwa mashabiki wao!!kipindi ile pep ya barca imechukua kama hivi ilikuwa kila sehemu barca barca barca!!!