Huo ndio ukweli na utabakia hivyo hadi kiyama.
Japo mtakuwa kila mtu na wake lakini, kuna kitu kinabakia na uhakika wake. Na unaposhindwa au mnaposhindwa mnajikuta mnaingia matatani.
Yaani mnapokutana inakuwepo hali flani ya kimahaba, labda hukuwahi kupenda ulipokuwa shuleni.
Ila hayafi hata sijui nieleze vipi?
Labd wadau mnaweza kuueleza ukweli huo.