Reading books versus taking a master degree or PhD

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,119
27,123
Habari zenu wakuu ? Nina swali moja nataka kushare nanyi. Kwa mtu anaetaka kuwa nondo kwenye field fulani? Kipi bora ? Kusoma masters na kufanya PHD kabisa ? Au kusoma vitabu kwa wingi na ikiwezekana kufanya primary researches ? Mimi naamini kusoma vitabu na kufanya primary researches is far much better than going for masters or PHD .. What do u think ?
 
Brother huwezi kufanya yote mawili au, I mean kusoma botany huku ukifanya PhD.

Btw kumbe unaweza kuwa PhD bila hata kujishughulisha kusoma botany.........
cjakusoma
 

U have spoken my mind!
 

Vyote pamoja! Kusoma mbona ni shughuli ya kawaida tu! Au Mzee- nadhani kusoma vitabu na kufanya tafiti zako mwenyewe ndio kukufanya uwe bobezi? La hasha!
 
Inategemea na mtazamo wako,kwa mfano;unataka utambulike kwa taaluma ili iweje? au unataka upate maarifa ili iweje? ukiweza kujibu hayo maswali,ndipo utakapojua kipi bora.
 
Unajua asili na maana PhD. PhD haina maana ya utajiri na ukiona mtu anaPhD halafu yeye ni tajiri hiyo ni fake. PhD maana yake ni free quality service to the world.
 
Uko sahihi mkuu, kupata PHD haimaanishi una elimu, ila umepata cheti kulingana na taratibu za hiyo field. Lakini knowledge ipo vitabuni mkuu
 
je unataka kutambulika na wewe upo soma hiyo PHD , unataka kusonga mbele on what you believe , soma vitabu . kwa maana watu wengi wanahangaikia maisha badala ya kuyaishi na hivyo kukosa ladha ya maisha . maisha yana ladha na ndiyo maana watu wanaenda club, beach , kunywa pombe ili ladha ipatikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…