LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,075
- 27,017
Habari zenu wakuu ? Nina swali moja nataka kushare nanyi. Kwa mtu anaetaka kuwa nondo kwenye field fulani? Kipi bora ? Kusoma masters na kufanya PHD kabisa ? Au kusoma vitabu kwa wingi na ikiwezekana kufanya primary researches ? Mimi naamini kusoma vitabu na kufanya primary researches is far much better than going for masters or PHD .. What do u think ?