Readership

Readership

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,722
Reaction score
16,068
Samahani wakuu mwenye sample ya mtihani wa readership au entrepreneur, naomba anitumie pm tafadhari, kwa ngazi ya diploma afya
 
Watakuletea hapa mkuu ..

Japo jaribu kuuweka uzi wako kisomi kama wewe .. Hizo R na L
 
Mtihani wa entrepreneur ndo Unaenda kufanya if yes Mimi ninazo notes za VETA nzuri kusoma na kujibia mtihani.

Waweza weka WhatsApp number nikakutumia
 
Back
Top Bottom