REA ni nini?

REA ni nini?

gilbert14

Senior Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
117
Reaction score
17
Rea ndo nn haya ni maneno ya wanakijiji huko arusha nasikitika kwa mbunge wa arumeru bw nassari kushindwa hata kulipigania jimbo lake kupata nishati kiukwel watanzania tumeshindwa kiongozi bora au uropokaji bora ndio maendeleo nasikitika sana amna mzuri kwenye hii serekali
 
REA ni Rural Energy Agency ukichanganya fuel na gas. Kwa upande wa Electrical wanafungia wakulima wa vijijini umeme tarif 1 yaani ule wa wenye viwanda. wanakijiji hushindwa kuendelea kutumia umeme kwa kuona bei ni kubwa kuliko kerosene.
 
Back
Top Bottom