P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 May 2, 2017 #1 Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa
Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 May 2, 2017 #2 paschal majune said: Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa Click to expand... Bro fundi sa Unaomba kazi kwa mwenyekiti wa kijiji au REA?.dah nchi ina mitambo hii sijapata kuona
paschal majune said: Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa Click to expand... Bro fundi sa Unaomba kazi kwa mwenyekiti wa kijiji au REA?.dah nchi ina mitambo hii sijapata kuona
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,534 Reaction score 31,198 May 2, 2017 #3 Almost 90% to completion
P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 May 2, 2017 Thread starter #4 REA mi wakala wa umeme vijijini .si kwamba naenda kuomba kazi Kwa mwenyekiti. Mafundi wanalijua hilo